Super metro inspectors are Nasty Business
So nimepanda this super metro, the conductor lied aty anaenda thika so kufika juja msee ananiambia sijuwi nishuke nipande metro iko nyuma, the inspector comes alafu anatushow turudi kwa hio super metro( we are like three dudes wenye tunaenda thika), so watu wa juja wakashuka na tukaambiwa tupelekwe thika. So right now we are three dudes kwa super metro moja😂. The driver is speeding af😂. I actually like the professionalism